Habari Mtanzania! GOOD NEWS! DARASA MUHIMU SANA! ๐จ๐
Umeweka Bitcoin zako kwenye Exchange? Unajua uko hatarini kiasi gani?
Ndugu zangu, kama una Bitcoin yoyote iliyolala kwenye Exchange yoyote, basi darasa hili ni kwa ajili yako!
Tarehe 06 Novemba 2026, tutakuwa LIVE kwenye Google Meet katika darasa la moto sana lisilo na mfano: "Crypto Exchanges na Hasara Zake."
Kwa miaka mingi watu wengi wamepoteza mabilioni ya fedha kwa kosa moja tu - kuamini kuwa Exchange ni benki salama ya kuhifadhia Bitcoin zao. Kumbe HAPANA! Exchange ni soko tu la kununua na kuuza, sio sehemu ya kuhifadhi akiba yako ya kesho.
Darasa hili la kipekee litaongozwa na Mwalimu wetu mwenye uzoefu, Mwalimu Graysatoshi , ambaye atafundisha kwa kutumia mifano halisi na ya kusikitisha iliyowahi kutokea duniani, kama anguko la FTX, Mt. Gox, na Binance.
Tutajifunza kwa kina:
โ
Exchange ni nini hasa? Inafanyaje kazi na inapataje faida kwako?
โ
Kwa nini ni hatari kubwa kuacha Bitcoin zako Exchange? Tutachambua kauli mbiu ya "Not Your Keys, Not Your Coins"
โ
Mbinu chafu wanazotumia Exchange kukupotezea pesa zako taratibu bila wewe kujua.
โ
Tofauti kubwa kati ya Exchange na Self-Custody Wallet na kwa nini Self Custody ndio uhuru wa kweli.
โ
Jinsi ya kutoa Bitcoin zako kwa usalama kutoka Exchange kwenda kwenye wallet yako binafsi hatua kwa hatua.
Hili ni darasa litakalokuokoa na hasara kubwa ya baadaye. Usije ukajifunza kwa kupoteza pesa zako. Jifunze sasa bure!
Kuwa tayari na maswali yako yote, tutayajibu LIVE!
Jiunge na Darasa Hapa:
Link ๐ https://calendar.app.google/zUtYsRTJd1ej4Qre7
Elimu ndio kinga yako bora. Jilinde sasa kabla ya kuchelewa!